Tatizo la jicho kuchezacheza

Tatizo la jicho kuchezacheza

longola

Senior Member
Joined
Oct 15, 2015
Posts
106
Reaction score
254
Habari wakuu..
Kuna rafiki yangu Jicho lake la kushoto linacheza cheza( This is involuntary) na sio kwamba halioni hapana bt linacheza cheza linatulia baada ya mda kidogo linacheza tena ( NB: siyo kope zinacheza bt nadhani ni misuli cjui kwa ndani so atakapokwambia umuangalie huez kunotes kwa nje)

Tatizo litakua nn wadau.. msaada plz kwa ma Dr.
 
Hamna hata shida hata mimi huwa inanitokea japo wengine wana imani zao
 
kwenye imani kuna mengine lakini katika hali ya kawaida naamini wapo madaktari wanaweza kutujuza
 
Back
Top Bottom