Habari wakuu..
Kuna rafiki yangu Jicho lake la kushoto linacheza cheza( This is involuntary) na sio kwamba halioni hapana bt linacheza cheza linatulia baada ya mda kidogo linacheza tena ( NB: siyo kope zinacheza bt nadhani ni misuli cjui kwa ndani so atakapokwambia umuangalie huez kunotes kwa nje)
Tatizo litakua nn wadau.. msaada plz kwa ma Dr.