Tatizo la joto kali sehemu za siri

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Naombeni msaada nini kinasababisha sehemu za siri mwanamke kuwa na moto sana?
na hakuna ugonjwa wowote.

Madhara yake ni nini?
Asanteni
 
Mmmh! High tempeprature? Huo ndio utamu wenyewe... Mwanamke mwenye 'tatizo' kama hilo ni ngumu sana kuachwa na mwanaume...
Other wise hiyo pia inaweza ikawa symptom ya nyg kali zilizozidi kipimo cha kawaida.

Suluhisho ni kuolewa tu na kuwa na uhakika wa 'cooling system' ya kushusha temperature...
 
kuolewa tena? kama solution ni wanaume bora nilipuke tu mkuu na hili joto kwendeni huko
 
Hahaha duuuhh..
 
Tuanzie kwenye aina ya umbo la mwili wako, pia mavazi unayopendelea kuvaa.
 
Hebu jalibu kutova chupi zen kuna majani nitiba sijuwi halo ulipo upo mjin au kijini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…