Tatizo la kende (testicles) kuchemka

Tatizo la kende (testicles) kuchemka

napenda

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
485
Reaction score
90
Kuna tatizo linanisumbua, mapu*** yanachemka sana, kuanzia katikati ya mapaja na mapu*** yenyewe, ukipitisha mkono na kuyashika kuna joto kali sana, hata baada ya kuoga dakika chache tu yanaanza..

Tatizo hili lina mwezi sasa, msaada hii ni nini?
 
Yawekee vipande vya barafu yapoe.Korodani zikiwa na jotoridi kali zinaathiri utengenezaji wa mbegu za kiume.
 
Yaweke vipande vya barafu yapoe.Korodani zikiwa na jotoridi kali zinaathiri utengenezaji wa mbegu za kiume.

Du, kumbe tena zinatengeneza tatizo jingine, vipi hakuna njia mbadala tofauti na barafu?
 
Duh! Upgrade upate duo core. Single processor ni kawaida kuchemka, hususan Intel. Au weka celeron

Inaonekana wewe ni monocotyledon ilhali system za siku hizi ni dicotyledon.
 
mi pia iliwahi nitokea inabidi uvae bukta kusudi isikubane zaidi pumbu
 
Inategemeana na nguo za ndan unazo vaa@
 
Unavuta sigara?? Una kilo ngapi?? Unavaa nguo za ndani zinazokubana?? Unakula vyakula vyenye cholesterol nyingi?? Unatumia red meat??
 
Unafanya kazi gan? BTW Pendelea underpants zenye cotton materials
 
Mi nadhani ni suala la umri. Nami nilipokuwa na umri kama wako nilikuwa na tatizo kama hilo lkn kulingana na muda liliisha lenyewe.
 
Back
Top Bottom