Lung'wecha
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 927
- 574
Pole sana mkuu!Jamani wataalamu msaada kwa anayejua tatizo linalosababisha kifua kuwasha kwa ndani anipe ushauri.
Kinanisumbua sana pia japo sikohoi sana.
Mkuu kama upo uwezekano anzisha uzi ili uwasaidie watu wanaosumbuliwa na pumu. Unajua kipindi hiki cha baridi huwa kuna mlipuko mkubwa saana wa maradhi ya pumu.Pole sana mkuu!
Muone daktari kwa uchunguzi zaidi.
Na ikiwa utagundulika kuwa una maradhi ya pumu (asthma) basi usisite kunitafuta mimi nnao uwezo wa kuyatokomeza maradhi haya ndani ya siku7 tu na hutaumwa kamwe.
Cc Tabrett
Mkuu nnaponyesha pumu toka siku nyingi sana na uzi niliweka kitambo 2014 mods wakauunganisha na uzi wa mpiga dili mmoja aishie ughaibuni ambaye hutibu watu kwa $300 kwa dozi!Mkuu kama upo uwezekano anzisha uzi ili uwasaidie watu wanaosumbuliwa na pumu. Unajua kipindi hiki cha baridi huwa kuna mlipuko mkubwa saana wa maradhi ya pumu.
Duhh pole sana!Mkuu nnaponyesha pumu toka siku nyingi sana na uzi niliweka kitambo 2014 mods wakauunganisha na uzi wa mpiga dili mmoja aishie ughaibuni ambaye hutibu watu kwa $300 kwa dozi!
Mimi mwenyewe nilikuwa muhanga wa pumu kwa zaidi ya miaka30 nikatafuta dawa nikapona nikaamua kusaidia wengine.
Hata nikianzisha uzi mwingine leo, mods wataupiga mtama!
Cc hang'olwa etc
usikate tamaaMkuu nnaponyesha pumu toka siku nyingi sana na uzi niliweka kitambo 2014 mods wakauunganisha na uzi wa mpiga dili mmoja aishie ughaibuni ambaye hutibu watu kwa $300 kwa dozi!
Mimi mwenyewe nilikuwa muhanga wa pumu kwa zaidi ya miaka30 nikatafuta dawa nikapona nikaamua kusaidia wengine.
Hata nikianzisha uzi mwingine leo, mods wataupiga mtama!
Cc hang'olwa etc
Ni kawaida sana mkuu ila pole ya dhati kabisa tuilekeze kwa wagonjwa ambao bado wanatumia dawa za kutuliza maumivu kwa kumeza tembe na kujidunga sindano!Duhh pole sana!
Sikati tamaa mkuu!usikate tamaa