Tatizo la kipanda uso

kiduche

Member
Joined
Mar 4, 2018
Posts
25
Reaction score
24
Habar wana jf
Mimi nasumbiliwa sana na tatizo la kuumwa kichwa kwenye paji la uso maarufu kama KIPANDA USO ni tatizo linanisumbua miaka mingi sana karibia miaka saba had na sielew matibabu yake
Naomba msaada wa waliowah kukumbwa na wamepona walitumia njia gan?
Natanguliza Asante
 
POle sana,
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT...................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…