Tatizo la kitovu

Tatizo la kitovu

Lauma Raj

Senior Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
129
Reaction score
14
Habarini wana JF
Nina tatizo naomba msaada wenu,
ni mwezi na siku 5 leo
mtoto wangu tangu azaliwe,
ila shida hadi leo nashangaa hajakauka sehemu ya kitovu chake.
Naomba ushauri wenu kama kuna dawa au namna ya kunusuru hili.
 
Kinatoa uchafu/usaha/?

Je kina harufu kali?

Mtoto anapata homa?
 
Back
Top Bottom