Tatizo la kiu ya maji mara kwa mara

Kiu ya vipi, hamu ya maji au koo linakauka?
Hamu ya Maji Mkuu. Koo halikauki na mate mdomoni yapo ila anasikia kiu Fulani hivi. Siwezi kuelezea sana maana siyo mhusika ila utaona akinywa Maji na kulalamika kiu in a short while.
 
Haiez kuwa sukari, probably ni renal failure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…