Habari wakuu,
Nina changamoto kubwa ambayo inanitesa naombeni msaada wa mawazo. Kimsingi nina shida ya kiuno kufa ganzi au kukamaa kwa muda hususani ninapo enda haja au kukaa kwa muda mrefu sijaju shida ni nini.
Pili naomba kujua kwa undani zaidi kwa wenye uelewa nimekuwa ni muumini wa punyeto tangu 1999 mpaka Leo na nina pata changamoto sana kuna wakati naskia vitu vinatembea kwenye uume na wakati mwingine baadhi ya scheme za mwili na kuuma sana mpaka natumia panadol ndio atleast Natulia. Mwenye ushauri wa kitaalqmu zaidi tusaidiane maana napata msongo wa mawazo.
Naombeni msaada wa mawazo.