Tatizo la kiuno

mperwa

Member
Joined
Sep 3, 2009
Posts
28
Reaction score
0
Hi wana Jf , nasumbuliwa na kiuno sana mpaka kuna kipindi nashindwa hata kuinuka wala kugeuka, nimejifungua miez mitano iliyopita wengine wananambia nilianza fanya kazi mapema kabla ya kupona vizuri, ya kweli haya?

Naombeni ushauri jamani!
 
Kama hukupumzika inawezekana ndo ilikua sababu!Ngoja tusibiri wataalamu watueleze!Pole lakini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…