Tatizo la kizunguzungu.

Tatizo la kizunguzungu.

Jaby'z

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
4,303
Reaction score
7,629
Habari wakuu.....siku za hivi karibuni nimekua na tatizo la kizunguzungu ambacho kinakuja baada ya dakika kama tano kinaisha..na muda mwingi hali hii inatokea kama kuna hali ya hewa ya baridi pia na sehemu zenye makelele...napenda kufahamu kinachonisumbua wakuu
 
Back
Top Bottom