Tatizo la Kondomu kuvuka au kuchomoka

Tatizo la Kondomu kuvuka au kuchomoka

viny one

Member
Joined
Apr 28, 2017
Posts
30
Reaction score
9
Nimemgegeda mwanamke mmoja nikiwa nimevaa kondomu sasa wakati nimepiga bao nachomoa dushe hili nibadili nivae nyingine nikakuta kondomu imesogea mbele yaani nusu ya dushe ilikuwa wazi na wakati mwanzo niliivaa fresh tu...jambo lililonikata stimu na mechi ikaishia pale pale maana hata mwanamke wenyewe sijui status yake

Ninaomba ushauri je nifanye nini na je naweza kunywa PEP haraka
 
Wewe mwanamke umemuokota wapi mpaka Ndomu imevuka kidogo umeanza kulia lia???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji15][emoji15] Acha kununua malaya... sema itakuwa mimaji maji inateleza ilee so ikawa inavuka ila pia labda una kiba100
 
Pia ningependa kufahamu kama maambukizi yanaweza kutokea kwa njia hii
 
Uume wako ni aidha mwembamba au mfupi, jitahidi kutumia condom za bei ya juu kama rough..., bulls...zinabana vizuri tofauti na haya makondomu ya mafungu kwa sh.500
 
Wewe mwanamke umemuokota wapi mpaka Ndomu imevuka kidogo umeanza kulia lia???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji15][emoji15] Acha kununua malaya... sema itakuwa mimaji maji inateleza ilee so ikawa inavuka ila pia labda una kiba100
Hapana ndugu sina kiba100 nina nchi 6 kabisa na wala huyo mwanamke sio malaya wa kununua
 
Hapo kwenye swala la maambukizi bado hujanijibu mkuu...inakuwaje hapo
Ni rahisi kwa mwanamke kuambukizwa HIV na mwanaume kuliko mwanaume kuambukizwa na mwanamke. Kwa tahadhari nenda kwenye kitengo uanze emergency treatment
 
Nimemgegeda mwanamke mmoja nikiwa nimevaa kondomu sasa wakati nimepiga bao nachomoa dushe hili nibadili nivae nyingine nikakuta kondomu imesogea mbele yaani nusu ya dushe ilikuwa wazi na wakati mwanzo niliivaa fresh tu...jambo lililonikata stimu na mechi ikaishia pale pale maana hata mwanamke wenyewe sijui status yake
Ninaomba ushauri je nifanye nini na je naweza kunywa PEP haraka
Siku nyingine uwe unavaa size yako mkuu lakini mwisho wa yote bado una nafasi kapime ujue hali yako ipoje
 
Mazee nilienda hosp dokta akanishauri nianze PEP ndo nilianza jana nimeamka kizunguzungu hatari hizi dawa nyie zisikieni tu
 
Mkuu,hivi mnatoaga wapi mazoea na condom[emoji848] mimi nilishashindwa kabisa kutumia hizo kitu[emoji52]
 
Uume wako ni aidha mwembamba au mfupi, jitahidi kutumia condom za bei ya juu kama rough..., bulls...zinabana vizuri tofauti na haya makondomu ya mafungu kwa sh.500
Jizazi [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Back
Top Bottom