Pia ningependa kufahamu kama maambukizi yanaweza kutokea kwa njia hiiNimemgegeda mwanamke mmoja nikiwa nimevaa kondomu sasa wakati nimepiga bao nachomoa dushe hili nibadili nivae nyingine nikakuta kondomu imesogea mbele yaani nusu ya dushe ilikuwa wazi na wakati mwanzo niliivaa fresh tu...jambo lililonikata stimu na mechi ikaishia pale pale maana hata mwanamke wenyewe sijui status yake
Ninaomba ushauri je nifanye nini na je naweza kunywa PEP haraka
Hapana ndugu sina kiba100 nina nchi 6 kabisa na wala huyo mwanamke sio malaya wa kununuaWewe mwanamke umemuokota wapi mpaka Ndomu imevuka kidogo umeanza kulia lia???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji15][emoji15] Acha kununua malaya... sema itakuwa mimaji maji inateleza ilee so ikawa inavuka ila pia labda una kiba100
Hapo kwenye swala la maambukizi bado hujanijibu mkuu...inakuwaje hapoUlijikuta nueva skirt [emoji23][emoji23][emoji23]
Condom ilikuwa ndogo kwako
Ni rahisi kwa mwanamke kuambukizwa HIV na mwanaume kuliko mwanaume kuambukizwa na mwanamke. Kwa tahadhari nenda kwenye kitengo uanze emergency treatmentHapo kwenye swala la maambukizi bado hujanijibu mkuu...inakuwaje hapo
Unamaanisha nini we jamaaMweeeh RIP
Ulijikuta nueva skirt πππ
Condom ilikuwa ndogo kwako
Siku nyingine uwe unavaa size yako mkuu lakini mwisho wa yote bado una nafasi kapime ujue hali yako ipojeNimemgegeda mwanamke mmoja nikiwa nimevaa kondomu sasa wakati nimepiga bao nachomoa dushe hili nibadili nivae nyingine nikakuta kondomu imesogea mbele yaani nusu ya dushe ilikuwa wazi na wakati mwanzo niliivaa fresh tu...jambo lililonikata stimu na mechi ikaishia pale pale maana hata mwanamke wenyewe sijui status yake
Ninaomba ushauri je nifanye nini na je naweza kunywa PEP haraka
[emoji3][emoji3][emoji3] JF ina mambo mengi ila yenye ukubwa ukubwa.Shughulikia tatizo la kibamia kwanza
ilikua kubwa kwake,Ulijikuta nueva skirt πππ
Condom ilikuwa ndogo kwako
Jizazi [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Uume wako ni aidha mwembamba au mfupi, jitahidi kutumia condom za bei ya juu kama rough..., bulls...zinabana vizuri tofauti na haya makondomu ya mafungu kwa sh.500
Duh. RIP kiongozi.Mazee nilienda hosp dokta akanishauri nianze PEP ndo nilianza jana nimeamka kizunguzungu hatari hizi dawa nyie zisikieni tu