Tatizo la korodani kuingia tumboni

Tatizo la korodani kuingia tumboni

ELLY NTALE

New Member
Joined
Sep 27, 2014
Posts
4
Reaction score
0
pole na majukumu JF DOCTOR naomba kuuliza tatizo la kuingia tumboni kwa korodan kunasababishwa na nini na pia madhara yake ni yapi?
 
Swali zuri. Na inatokea sana kipindi cha baridi. Ngoja waje wataalam.
 
Pole sana mimi c mtaalam ila nahisi unaweza ukawa na tatzo la haenia.NB.nenda hospitali.
 
Pole.mimi ni muathirika wa hili tatizo..chanzo ni henia aka ngiri.wahi hospital watakufanyia operation ndogo kuna kitu wanakiondoa ili uendelee na maisha. Ukichelewa itapotea kabisa kijana
 
Pole.mimi ni muathirika wa hili tatizo..chanzo ni henia aka ngiri.wahi hospital watakufanyia operation ndogo kuna kitu wanakiondoa ili uendelee na maisha. Ukichelewa itapotea kabisa kijana
kweli kabisa ugonjwa unaitwa hivyo lakini korodani kupotea kabisa siyo kweli hapo umepotosha
 
Aiseee. Pole sana. Wahi zisije zikakwama kabisa.
 
Back
Top Bottom