ELLY NTALE
New Member
- Sep 27, 2014
- 4
- 0
kweli kabisa ugonjwa unaitwa hivyo lakini korodani kupotea kabisa siyo kweli hapo umepotoshaPole.mimi ni muathirika wa hili tatizo..chanzo ni henia aka ngiri.wahi hospital watakufanyia operation ndogo kuna kitu wanakiondoa ili uendelee na maisha. Ukichelewa itapotea kabisa kijana