Tatizo la ku-login wenye account ya TCU linatokana na nini ?

daniel tsoray

Member
Joined
Dec 28, 2013
Posts
10
Reaction score
1
Jamani nina mdogo wangu anasubiria selection za vyuo but nimejarb several times kulogin kwenye account yake ya TCU but inaniandikia login failed.

Kuna mtu yeyote aliyewah jaribu kulogin ikakubali ?
 
yap mimi naperuzi saiv wala haina shida using google chrome
 
jaribu kufuta history (every thing) katika browser unayoitumiana u log in upya. naifungua yangu karibu kila siku siku hizi na inafunguka kirahisi. angalia kwa uangalifu user name na password
 
May labda nakosea vtu wanvohitaji...c unaandka like eg. (S0674.556.2011) thn na password yake right!!. MAKAH
 
Last edited by a moderator:
May labda nakosea vtu wanvohitaji...c unaandka like eg. (S0674.556.2011) thn na password yake right!!. MAKAH

Kwanza kwanini unalogin acc ya mdogo wako au una bifu naye sasa unataka umjazie kozi njaa na vyuo mbuzi ili umkomoe?

Enewei: Badala ya kutumia alama nukta(.) just tumia alama ( / ) itakubali mfano S0354.0138.2011 sasa badili iwe S0354/0138/2011 hapo ndo itakubali.

Talk from experience
 
Last edited by a moderator:
Huyo ni mdogo wang wewe...cwez nkafanya vtu vya kiupumbav km unavofkr...kwnz nfanye hvo il inisaidie nn akat na m nna elim yang nzur ..m nnachotaka n kumsaidia coz stl yupo jesh so in any case i suppose help her..ameniomba nmsaidie dats y ilvoshndkana nmekuja kuulza..acha kuwa na fikra potofu bwana mdogo
 
Sory brthr what do you mean nipm...and then what is the solution for that problem@ CharlesMunyaka
 
lbda shida ipo kweny password nenda forget password then fuata maelkzo
 
leo nmejaribu kuwakol watu wa tcu kwasababu hyo ish hata mi pia ilkuwa inanisumbua wameniambia tatzo ni password unayoingia weka digits ziwe 6..like kama hapo jaribu 'chetus' iwe ndo password yako@Baba Genovivah
Hlf labda ushauri wa bure usiziweke sana hzo vitu hadhari kama ulivofanya ...that is the persona issues huwezi kujua mtu mwingine akachukua na kuedit vitu ambavyo anajua yeye...so hembu jaribu kwanza@Baba Genovivah
 
dah! leo ni trh 8 lkn bado cjui hatima yangu kuhusu TCU, inaboa sana....
 
naomba mumsaidie na huyu sister P0630/0025/2006 password 'chetustjut90'..yani kila akijaribu inagoma aisee sijui tatizo nini

hizi P ziko tricky. kama ni ya kurudia mtihani then unaingiza ile ya first sitting kama ni S au P at "O" level.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…