Tatizo la kuchelewa kufika mshindo

Tatizo la kuchelewa kufika mshindo

grand millenial

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
3,943
Reaction score
5,550
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wakuu ninaombeni msaada wenu kwani hili tatizo linanisumbua mwaka wa tatu sasa nimetembelea hospitali wananiambia litaisha lenyewe ile nizingatie afya yangu kuanzia kula,kupumzika na pia nisiwe na stress ,ila katika vyote hivyo walivyoniambia sioni kama vimesaidia na pia mimi si mtu wa stress wakuu.

Yaani tatizo lilianza kama utani mwaka 2016 nikiwa na mpenzi wangu ambaye alikuja kutembelea ninapoishi sasa wakati wa ku sex nimetembea karibia lisaaa lakini sioni dalili za kufika mshindo mpaka ikabidi nimwache kwa kuwa alianza kulalamika namuumiza mwanzo niliona labda ni kawaida tu mwili saingine una change ila kuanzia hiyo 2016 mpaka sasa kikweli nimefika mshindo mara 2 tu tena zote hizo ni kwa kujichua.

Hivyo nimekuja hapa najua kuna watu labda mlishawahi kuwa na matatizo haya na vipi mlijitibu.

Asanteni na samahani kwa uandishi mbaya wakuu.
 
Tatizo linatokana na kupiga punyeto, acha puli hali itatukia
 
Dah...nimekuja mbio nikajua kuna elimu mpya ya vilipuzi.... [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
chanzo cha tatizo ni kuangalia sana picha za uchi na porn videos, ikisindikizwa na punyeto.
Na hakuna dawa popote zaidi ya kujiweka mbali na hivyo vitu, yani kuacha kabisa.
 
Pole sana...

Ugumu wa maisha yako ndiyo tatizo... ngoja maisha yakikulegezea, utafika hiyo mishindo...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom