Nina miaka 30 kwa bahati mbaya mwili unakuwa unachoka na kutamani kulala tu hata kufua nguo zangu mwenyewe nitakuwa mvivu. Nimepima magonjwa yote sina.
Pia nikiwa na mpenzi wangu kabao kamoja tena dhaifu then ngoma inalala kama lisaa then la pili dhaifu tena kama dk 4.
Je, nifanyeje wadau.
Naomba usinitukane najua hapa kuna wataalam mbali mbal.
kapime magonjwa ya kisukari, tatizo la moyo na figo lako ili upate kujuwa kama huna maradhi yaliyojificha mwilini mwako.Kunywa majiya uvuguvugu kwa wingi unapo amaka asubuhi na unapotaka kulala usiku.Nina miaka 30 kwa bahati mbaya mwili unakuwa unachoka na kutamani kulala tu hata kufua nguo zangu mwenyewe nitakuwa mvivu. Nimepima magonjwa yote sina.
Pia nikiwa na mpenzi wangu kabao kamoja tena dhaifu then ngoma inalala kama lisaa then la pili dhaifu tena kama dk 4.
Je, nifanyeje wadau.
Naomba usinitukane najua hapa kuna wataalam mbali mbal.