Tatizo la kuchubuka mapaja

Lumbi9

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2014
Posts
8,666
Reaction score
12,178
ananiomba ushauri afanye nini juu ya tatizo hilo, wachache aliowaomba ushauri wamemwambia sababu yeye ni bonge hvyo inabidi apunguze mwili, lakini process hii matokeo yake si leo wala kesho, mimi mwenyewe sikuwa na chakumshauri, nimemwambia subir kwanza, hivyo watu wangu wa nguvu kama kuna anayefahamu soln yake wakati huo mwili ukipungua taratibu-taratibu naomba msaada wako.
thanks in advance.
 
Mi na mwili wa kawaida lakini michubuko napata wala si mnene nadhani mbanano wa mapaja ngoja wenye kufahamu waje
 

Sasa nani mtu wako wa nguvu? Wewe vipi?
 
Huduma yakwanza km anamzinguko ming sana yakutembea kwa miguu bas ajitaid kuvaa tait kuepusha msuguano wa ngoz kwa ngoz!!zaidi tuwasubir na wengne waje.
 
Skin tyt inahusika pindi ajuapo atakua na mizunguko..nam nna tatizo hilo lakin navaaga skin tait sichubuki na nna mapaja masaf meupeee situmii dawa yoyote zaidi ya kuvaa skin tait.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…