Nina tatizo la kuwasha ndani ya pua na kuchubuka.
Pua zangu huwa kavu ndani bila unyevunyevu, hali inayopelekea kuwasha na kusababisha nitumie vidole kujikwangua na kusabisha kujichubua.
Tafadhali naombeni msaada kwa anayejua tatizo la huu ugonjwa na jinsi kupata matibabu yake.