peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Bi wa Dodoma anafuata ya Makonda Arusha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona tiba inafanywa kwa mfumo wa camp kama ile ya Arusha aliyofanya Bashite au hii ya Dodoma ya Sinyamule ujuwe hiyo ni DALILI kuwa mfumo wa tiba wa Serikali UMEFELI.Bi wa Dodoma anafuata ya Makonda Arusha.
Hili jambo siyo jema. Hakuna mtu atakwenda kupona kwenye hiyo kambi. Sanasana utakutana na wagonjwa walewale ambao wana chain yao tayari kwenye mfumo wa tiba through NHIF na referral systems zingine.Tunapaswa tupongeze kwa mema na sio kuonesha mshangao kama mtoa mada unavyoashiria kupitia post yako
Je kuna ubaya kwa RC kumobilose utoaji wa huduma za Afya???
Jambo jema lipongezwe, na liwe chachu kwa wengine kujitoa kwa ajili ya kuigusa jamii
Huduma ya afya siyo kumuona daktari tu. Bali ni comprehensive ikihusu vipimo vya maabara, radiologia, upasuaji na dawa.Huduma za afya zikitolewa Bure ni jambo jema sana... Kuna baadhi ya wenzetu hawawezi kugharamia gharama za matibabu
je unamhukumu RC kukurupuka kwa hoja ya udhani kama kambi yao ya matibabu itakuwa na package kamili? je vipi ikiwa dhana yako si kweli? Tafuta taarifa sahihi na za uhakika kisha toa hukumu.Huduma ya afya siyo kumuona daktari tu. Bali ni comprehensive ikihusu vipimo vya maabara, radiologia, upasuaji na dawa.
Sidhani kama hiyo kambi itakuwa na package yote hiyo.
Nakubaliana na mtoa mada kwamba RC amekurupuka. Ni nini atakachotoa pale ambacho hakipo pale Benjamin Mkapa Zonal Referral Hospital?
Chaw..je unamhukumu RC kukurupuka kwa hoja ya udhani kama kambi yao ya matibabu itakuwa na package kamili? je vipi ikiwa dhana yako si kweli? Tafuta taarifa sahihi na za uhakika kisha toa hukumu.
Ujinga usha anza ni mwendo wa series sasa, nchi haina ubunifu imejaaa ujinga mtupuBi wa Dodoma anafuata ya Makonda Arusha.
Bi wa Dodoma anafuata ya Makonda Arusha.
Huu ni ujinga, Serikali iwekeze kwenye Huduma za afya iache kugeuza huduma za afya kuwa siasa, hapo naona siasa tupuje unamhukumu RC kukurupuka kwa hoja ya udhani kama kambi yao ya matibabu itakuwa na package kamili? je vipi ikiwa dhana yako si kweli? Tafuta taarifa sahihi na za uhakika kisha toa hukumu.
KWa nini hawawezi? shida ni wao au ni watalawa mafisadi wa hili Taifa?Huduma za afya zikitolewa Bure ni jambo jema sana... Kuna baadhi ya wenzetu hawawezi kugharamia gharama za matibabu
Wanapimwa tu au wanapewa na dozi? Huduma ya dialysis pia inatolewa bure kwenye camp?Huduma za afya zikitolewa Bure ni jambo jema sana... Kuna baadhi ya wenzetu hawawezi kugharamia gharama za matibabu