Wengi wanafeli kwa sababu hizi; Mazingira duni wanayotokea wanafunzi husika,uhaba wa walimu na vifaa vya kufundishia hasa vijijini,mshahara mdogo na motisha Kwa walimu,walimu wasiokua na weledi,mahusiano ya kimapenzi kati ya walimu na wanafunzi au wanafunzi Kwa wanafunzi au na wachepukaji,idadi kubwa ya wanafunzi siku hizi ni mabishoo,wapaka poda,wabana pua,wavaa milegezo hawajui waendako.Tena mshukuru Mungu bila hii kampeni ya Chama cha wadai posho (BRN) mwaka huu matokeo yangeandikwa kwenye World Book record.