Tatizo la kuendelea kufeli kidato cha nne ni nini?

GEKU MG

Member
Joined
Feb 5, 2014
Posts
24
Reaction score
1
Nashindwa kuelewa hasa mzimu unaowakabili wanafunzi wa sasa kuendelea kufanya vibaya ktk mitihani yao ya kidato cha nne.
 
Wengi wanafeli kwa sababu hizi; Mazingira duni wanayotokea wanafunzi husika,uhaba wa walimu na vifaa vya kufundishia hasa vijijini,mshahara mdogo na motisha Kwa walimu,walimu wasiokua na weledi,mahusiano ya kimapenzi kati ya walimu na wanafunzi au wanafunzi Kwa wanafunzi au na wachepukaji,idadi kubwa ya wanafunzi siku hizi ni mabishoo,wapaka poda,wabana pua,wavaa milegezo hawajui waendako.Tena mshukuru Mungu bila hii kampeni ya Chama cha wadai posho (BRN) mwaka huu matokeo yangeandikwa kwenye World Book record.
 
Pamoja na mengine yoote, pia mitaala imebadilika kutoka CONTENT BASED to COMPETENCE BASED mwaka 2008 kwa hiyo walim na mazingira yenyewe yalikuwa hayajaandaliwa.
 
Bika kumlipa vizuri mwalimu!!!?sidhani!!
 
Pia wanafeli kwasababu ya FB, JF, Twit, Skype na all social forums... mtoto Library anaiona Policepost
 
Lkn hamuoni walivyofauru English na kiswahili khaaa siku zingine msifie.

Jf fb Twitter nk lazima lugha hizo zipande.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…