Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
Kwa maelezo yako tu haya wewe utakua ni CO, hongera kwa kumpa msaada sahihiKuhara damu kwa kitaalamu tunaita 'dysentery' na hii inaweza kusababishwa na mambo mbalimbali aidha mchubuko kwenye mfumo wa chakula (gastrointestinal injury) au Inaweza kusababishwa na vidonda vya tumbo au aboeba, hivyo unahitaji uchunguzi wa haraka.
Swala lakuharisha damu sio la simile wala la kununua dawa madukani bila kujua tatizo.
Wahi hospitali
Uchovu na kizunguzungu ni given,Ngoma iyo [emoji3] [emoji3] [emoji3]
vipi ujickii uchovu na homa
Medicinae Doctor(MD) karibu mkuuKwa maelezo yako tu haya wewe utakua ni CO, hongera kwa kumpa msaada sahihi