Tatizo la kuisha kwa coolant ndani ya siku mbili

Tatizo la kuisha kwa coolant ndani ya siku mbili

Zogoo da khama

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2013
Posts
631
Reaction score
592
Gari ni Specio New Model
Tatizo ni kwisha kwa coolant ndani ya siku mbili, yoote inakuwa ndani ya rejeta.
Kuhusu rejeta haichemshi ila unakubidi uweke maji kila siku au baada ya km 45 - 50 Tatizo nini hapa.
 
nilishawahi kua na tatizo kama hilo na gari yangu ilikua inatoa moshi mweupe tatizo ilikua water pump imekufa hvyo maji yanavuja na head gasket iliungua
 
coolant kupungua pasipo kuwepo kwa uvujaji sehemu yeyote inamaanisha kuwa coolant inachomwa kwenye combustion chamber. na hii hutokana na kuchoka kwa head gasket, Karibu Garage ya kisasa mkabala na Mlimani city tukuhudumie kwa umakini na uhakika
Call 0692235221
 
Back
Top Bottom