Tatizo la kujaa miguu inasababishwa na nini?

Tatizo la kujaa miguu inasababishwa na nini?

machala

Member
Joined
Sep 22, 2024
Posts
9
Reaction score
8
Habari zenu ndugu?

Kama kichwa cha habari kinavyo eleza mimi nina ndugu yangu anakama wiki sasa anasumbuliwa na tatizo la kuvimba miguu pindi anapokuwa amekaa au kutembea kwa mda mrefu lakn akilala inasinyaa shida itakuwa nn..?
 
Back
Top Bottom