machala Member Joined Sep 22, 2024 Posts 9 Reaction score 8 Feb 24, 2025 #1 Habari zenu ndugu? Kama kichwa cha habari kinavyo eleza mimi nina ndugu yangu anakama wiki sasa anasumbuliwa na tatizo la kuvimba miguu pindi anapokuwa amekaa au kutembea kwa mda mrefu lakn akilala inasinyaa shida itakuwa nn..?
Habari zenu ndugu? Kama kichwa cha habari kinavyo eleza mimi nina ndugu yangu anakama wiki sasa anasumbuliwa na tatizo la kuvimba miguu pindi anapokuwa amekaa au kutembea kwa mda mrefu lakn akilala inasinyaa shida itakuwa nn..?