Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,941
- 3,964
Anakwamishwa? Kwa jitihada gani anayofanya?....kwa taarifa yako pambana na hali yakoWadau hivi hii katikakatika ya umeme inayoendelea ni huku kwetu tu au ni jiji zima la Dar? Huku maeneo ya kawe, mbezi beach, tegeta tunateseka sana. Naamini na maeneo mengine hali ni hiyo hiyo. Kwa muda wa karibu mwezi mmoja kumekua na hii shida kwa kiasi kikibwa sana.
Nakumbuka kipindi cha Waziri Kalemani tatizo la kukatika umeme lilipungua kwa kiasi kikubwa sana. Isije ikawa baadhi ya watumishi TANESCO wanataka kumkwamisha Waziri mpya wa Nishati Mh Makamba.
Log! Hizi nchi za Ndabaningi tabu sana.Just imagine katika karne hii ya 21 ambapo kila kitu kinategemea umeme katika nyanja mbalimbali za kiuchumi halfu unakuta katika jiji kubwa linalotegemewa na nchi kiuchumi na nchi yenyewe ina kila aina ya rasilimali za kuzalisha huo umeme na kusambaza unakuta umeme unakatikakatika kila mara kila siku na ni jambo la kawaida tu , then tukiambiwa we are in shithole countries people are going mad...!!?
Nchi za Ndabaningi mkuu au sio [emoji3][emoji3]Log! Hizi nchi za Ndabaningi tabu sana.
Huyo huyo. Alisumbua sana kule Rhodesia ya mhaini Smith.Nchi za Ndabaningi mkuu au sio [emoji3][emoji3]
Tatizo hili siyo Dar na viunga vyake pekee, ni la nchi nzima.Wadau hivi hii katikakatika ya umeme inayoendelea ni huku kwetu tu au ni jiji zima la Dar? Huku maeneo ya kawe, mbezi beach, tegeta tunateseka sana. Naamini na maeneo mengine hali ni hiyo hiyo. Kwa muda wa karibu mwezi mmoja kumekua na hii shida kwa kiasi kikubwa sana.
Nakumbuka kipindi cha Waziri Kalemani tatizo la kukatika umeme lilipungua kwa kiasi kikubwa sana. Isije ikawa baadhi ya watumishi TANESCO wanataka kumkwamisha Waziri mpya wa Nishati Mh Makamba.
'Ndabaningi Shthole' mkuu una kumbu kumbu sana za historia!Log! Hizi nchi za Ndabaningi tabu sana.
Yule mwamba ni basi tu! Itachukua vizazi vingine vingi tu kupata mtu wa aina yake.Mtanikumbuka JPM 15-21
Uko wapi mkuuNashukuru Mungu tangu mgao uanze sisi ulitukumba tu siku moja ya juzi lakini siku zingine umeme upo muda wote
Naona tunarudi nyuma before 2015, JPM alikuana dira ya maendeleo. Hawa wengine naona wanapiga mark time tuNunua solar mkuu maana jua lipo sana