Tatizo la kukatika Umeme ni Dar es Salaam yote au?

Hata hivyo umeme ni anasa tusiendekeze anasa. Mababu zetu Karne na Karne walitumia mbalamwezi na kuni kwani walipungukiwa nini? Waliishi kwa furaha na Manisha ya kuridhika.
 
Wanasema kwamba TAFUTA HELA maana DAR hakuna shida ya mgao wa maji wala kukatika UMEME.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…