A astredy Member Joined Jan 14, 2018 Posts 9 Reaction score 1 Jan 22, 2018 #1 Miaka 8 sasa tangu nipatwe na tatizo hili Nimekuwa nikitokwa na mkojo wa njano malanyingine huchanganyika na damu sijui tatizo nini naitaji msaada
Miaka 8 sasa tangu nipatwe na tatizo hili Nimekuwa nikitokwa na mkojo wa njano malanyingine huchanganyika na damu sijui tatizo nini naitaji msaada
Pyepyepye JF-Expert Member Joined Jan 6, 2017 Posts 1,940 Reaction score 3,834 Jan 22, 2018 #2 Mimi ni wa mapokezi tu, subiri hapo kwenye benchi daktari ameenda kula.
S spleen JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 4,079 Reaction score 6,788 Jan 22, 2018 #3 astredy said: Miaka 8 sasa tangu nipatwe na tatizo hili Nimekuwa nikitokwa na mkojo wa njano malanyingine huchanganyika na damu sijui tatizo nini naitaji msaada Click to expand... Nenda hospitali.
astredy said: Miaka 8 sasa tangu nipatwe na tatizo hili Nimekuwa nikitokwa na mkojo wa njano malanyingine huchanganyika na damu sijui tatizo nini naitaji msaada Click to expand... Nenda hospitali.
Mdeke_Pileme JF-Expert Member Joined Aug 24, 2013 Posts 1,596 Reaction score 2,226 Jan 23, 2018 #4 astredy said: Miaka 8 sasa tangu nipatwe na tatizo hili Nimekuwa nikitokwa na mkojo wa njano malanyingine huchanganyika na damu sijui tatizo nini naitaji msaada Click to expand... Utakuwa na tatizo la haemaglobinuria, au unakula sana Beetroot
astredy said: Miaka 8 sasa tangu nipatwe na tatizo hili Nimekuwa nikitokwa na mkojo wa njano malanyingine huchanganyika na damu sijui tatizo nini naitaji msaada Click to expand... Utakuwa na tatizo la haemaglobinuria, au unakula sana Beetroot
Gyole JF-Expert Member Joined Sep 20, 2013 Posts 7,008 Reaction score 7,059 Jan 23, 2018 #5 Pole sana