Tatizo la kukosa choo kwa mtoto, msaada tafadhali

Tatizo la kukosa choo kwa mtoto, msaada tafadhali

fukunyungu

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
717
Reaction score
194
Habari za leo wana jukwaa, mtoto wangu ana umri wa miaka mitatu ana tatizo la choo kugoma, inaweza kumchukua siku tano mpaka saba anakosa kabisa choo na pindi anapopata kinakua kugumu sana mpka huwa analia sana, anateseka sana kama ukimwona, naombeni msaada wa mwenye kuelewa solution ya hili tatizo.
 
hakikisha unampa maji ya kunywa ya kutosha kwa siku,matunda,mboga za majani kwa sana,vipi humpi mkate kila siku....ukifanya hayo lazima ashushe mzigo.
 
Back
Top Bottom