Tatizo la kukosa hamu ya chakula

Tatizo la kukosa hamu ya chakula

MOLAM

Senior Member
Joined
Oct 12, 2013
Posts
141
Reaction score
20
Mimi nasumbuliwa na tatizo la kukosa hamu ya chakula,mwili kuchoka,kuhisi kichef chefu;naomba msaada,je,nasumbuliwa na ugonjwa gani pamoja na tiba yake,.
 
Mmh! Kukosa hamu ya kula hata mimi inanitokea!
Tusubiri wataalamu!
 
Pole. Nashauri penda kufanya Mazoezi.ukifanya mazoezi utaunguza karolies mwili utahitaji kurudisha,utatamani kula tu. pia ukapime ujue tatizo lako.
 
Back
Top Bottom