MOLAM Senior Member Joined Oct 12, 2013 Posts 141 Reaction score 20 Feb 22, 2014 #1 Mimi nasumbuliwa na tatizo la kukosa hamu ya chakula,mwili kuchoka,kuhisi kichef chefu;naomba msaada,je,nasumbuliwa na ugonjwa gani pamoja na tiba yake,.
Mimi nasumbuliwa na tatizo la kukosa hamu ya chakula,mwili kuchoka,kuhisi kichef chefu;naomba msaada,je,nasumbuliwa na ugonjwa gani pamoja na tiba yake,.
Mashaxizo JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 6,707 Reaction score 3,346 Feb 22, 2014 #2 Mmh! Kukosa hamu ya kula hata mimi inanitokea! Tusubiri wataalamu!
P PeterPan Member Joined Feb 20, 2014 Posts 11 Reaction score 2 Feb 23, 2014 #3 mara ya mwisho kuona siku zako lini?
M Mr II Senior Member Joined Feb 19, 2009 Posts 158 Reaction score 17 Feb 24, 2014 #4 Pole. Nashauri penda kufanya Mazoezi.ukifanya mazoezi utaunguza karolies mwili utahitaji kurudisha,utatamani kula tu. pia ukapime ujue tatizo lako.
Pole. Nashauri penda kufanya Mazoezi.ukifanya mazoezi utaunguza karolies mwili utahitaji kurudisha,utatamani kula tu. pia ukapime ujue tatizo lako.