wilhard mboya
New Member
- Apr 11, 2017
- 3
- 6
Huna pesa tu Mzee ....Habarin ndgu na poleni na majukumu Mim ni kijana umri ni miaka 26 Nina mke na Mtoto moja ila pia Kwa sasa mke wang ni mjamzito nilikuwa nahitaji msaada juu ya tatizo hili Kwa siku za hivi karbun nimepoteza hamu kabsa ya kushirik tendo kitendo kichoniumiza Sana naombeni msaada wenu
Viungo mwili viko mapumzikoni.. Usijipe stress kula vizuri fanya mazoeezi pata muda wa kutosha wa kupumzika utarudi hewaniHabarin ndgu na poleni na majukumu Mim ni kijana umri ni miaka 26 Nina mke na Mtoto moja ila pia Kwa sasa mke wang ni mjamzito nilikuwa nahitaji msaada juu ya tatizo hili Kwa siku za hivi karbun nimepoteza hamu kabsa ya kushirik tendo kitendo kichoniumiza Sana naombeni msaada wenu
Tulizana mkeo ajifunguwe salama.Habarin ndgu na poleni na majukumu Mim ni kijana umri ni miaka 26 Nina mke na Mtoto moja ila pia Kwa sasa mke wang ni mjamzito nilikuwa nahitaji msaada juu ya tatizo hili Kwa siku za hivi karbun nimepoteza hamu kabsa ya kushirik tendo kitendo kichoniumiza Sana naombeni msaada wenu
Punguza kutumia simu yako muda mrefu bila kupumzika hasa usiku.Habarini ndugu na poleni na majukumu, mimi ni kijana umri ni miaka 26 Nina mke na Mtoto mmoja ila pia Kwa sasa mke wang ni mjamzito, nilikuwa nahitaji msaada juu ya tatizo hili Kwa siku za hivi karibuni nimepoteza hamu kabisa ya kushiriki tendo kitendo kichoniumiza Sana, naombeni msaada wenu.