Tatizo la kukosa hamu ya tendo la ndoa

plas haule

New Member
Joined
Jan 20, 2016
Posts
4
Reaction score
0
Nina mchumba wangu anatatizo la kukosa kabisa hamu ya tendo ni mwaka sasa tangu awe hivyo na hata akijitahidi hapati kabisa ute hivyo anakuwa mkavu kabisa.

Tafadhali anayejua suruhisho hili anisaidie.
 
Mwanzoni hakua hivo? Uchumba una muda gani usikute ushazoeleka sana
 
Hapo ipo kazi,, umri ukisogea na mkazoeana itakuwa balaa zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…