Tatizo la kukosa hamu ya tendo la ndoa

Hapo dawa ni 1 tuh....acha vikao unavyohudhuria CHAPUTA baada ya ya mwezi utakua unagegeda adi kuku[emoji16]
Kabisa, hata mimi nilikua mjumbe mzuri tu nilipata tabu ambayo haielezeki ila kwasasa toka niachane na habari ile namshukuru Mungu japo kidogo yaliyomo yamo.
 
Ukikosa hamu ya kufanya ngono si ufanye mambo mengine ya msingi?Hakuna kitu ninachotamani kama kukosa hamu ya huo utopolo.
Mi nashangaa jamaa katunukiwa kukosa hamu ya kufanya ujinga analalamika.
Yani mi natamani niwe tu kama robot
 
Nimekupata kaka
 
Kusema ukwel bhan chaputa ni chama langu ila inabidi nikisaliti dah niliwaza sana siku ile uwez amini
 
Kabisa, hata mimi nilikua mjumbe mzuri tu nilipata tabu ambayo haielezeki ila kwasasa toka niachane na habari ile namshukuru Mungu japo kidogo yaliyomo yamo.
Uliwezaje kujitoa kwenye icho chama kaka
 
Kukosa hamu ya tendo si tatizo bali ni DALILI ya tatizo kubwa la msingi lililojificha, labda hofu ya jambo fulani, au una haraka, au msongo, au hupati ushirikiano wakati wa maandalizi hadi wakati wa mchezo (Yaani gemu unaianza wewe na kuimaliza wewe kila kitu peke yako), au unakatishwa tamaa na kushushwa thamani yako nawe unataka kuthibitisha kwamba unaweza, na mengineyo mengi.

Nadhani majibu unayo mwenyewe
 
Tafuta dawa inaitwa Metformin. Meza kidonge kimoja saa moja kabla ya mtanange.
Nb: Unaweza kupata side effect ya kuharisha.
 
Hii uliyosema ishirikiano hapo ndo nimekupata alaf sikuwah kiwazaga kama inaweza kuwa sababu
 
Wanawake hamna siri tatizo
hujapendwa!!
halafu hujapata mwanamke ambae ni best friend, haya hata kwa wazazi wetu yalikuwepo hakuna jipya chini ya jua... ila tatizo vifua ukipata wenye vifua utaenjoy na msemage ukweli unaweka huru.
 
Kuna wakati pia nna hamu ya ngono,ila sina hisia za tendo
 
Tafuta dawa inaitwa Metformin. Meza kidonge kimoja saa moja kabla ya mtanange.
Nb: Unaweza kupata side effect ya kuharisha.
Duh, Metformin kweli?????!!!! kwani huyu ni mgojwa wa sukari?! Huyo hahitaji dawa, ni saikolojia tu
 
1. Left kwenye chama chako pendwa
2. Mtizi
3.Menyu (badili menyu mzee siyo kila siku wali + ugali, cheza na balance diet.... Gonga matunda hasa matikiti maji kisha tafuna mbegu zake bila kusahau kunywa maji mengi sana)
4. SIRI YA USHINDI NI KUJIAMINI.

After time T tafuta katoto kako kamoja anza kukapelekea 🔥 taratibuuu.

Mfano mimi ni mpenzi wa chai so viungo ambavyo natumia ni Tangawizi, karafuu, Pilipili manga, mdarasini. (asubuhi na jioni)

Nikiwa sina kazi, natafuna zangu karanga mbichi mixer maziwa yangu ya mtindi.

Jioni lazima nile tunda either tikiti au......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…