Tatizo la Kukosa Hedhi (Amenorrhea)

mzizimkavu MUNGU akubariki sana kwa kutoa somo hili muhimu...endelea na moyo huo huo wa kutusaidia Inshaallah!
 
thank mkuu,,but yye amefanya vipimo vyoote hana tatizo shida nii hiyo tu mzunguko,,atajuaje fertile day maana haelewi cku za fertile kwa huo mzunguko wake,,mwenzi nae hana shida,,msaada ndugu
 
Jamani nnawaombeni msaada. nna tatizo la kutokupata hedhi kwa wakati kwa mfano mwezi uliopita nimepata tarehe 20 mwezi ujao upite wote sipati mpaka mwezi mwengine pengine tarehe 7. jamani ni nini tatizo?
 
Je mzunguko wako ni wa siku 35,28 au 21?

Kwa kweli nashindwa ata kujua uhakika kutokana na tatizo hilo. siku nyengine zinafika siku 35 siku nyengine 42 ata nashindwa kujielewa. mana mara ya mwisho kupata ni tarehe 24 july.
 
Nna umri wa miaka 24, sijaolewa. iyo menopause ndio kitu gani naomba unielezee japo kwa ufupi kidogo mana si wengine tumekimbia shule.
 
Habari wakuu, nina ndugu yangu ana hili tatizo la kutoona siku zake. Amehangaika baadhi ya hospitali lakini bado tiba muafaka hajapata.

Kwa yeyote mwenye kujua tiba ya tatizo hili tafadhari naomaba ushauri naomba ili ufike mahari husika.kwa mujibu wake, anaweza asipate siku zake hata miezi mitatu, then akapata mara moja ambayo too small.

Maumivu ya mgongo, kiuno na miguu kuwaka moto ni sehemu ya maisha yake.

Ahsante na shukrani kwa mawazo yenu natanguliza.
 
DAWA ZA KUTEREMSHA HEDHI.

Ikiwa hedhi imezuilika kwa kufikia umri wa kumaliza au ni kwasababu ya mimba, inafahamika lakini ikiwa si kwasababu mbili hizo basi hufanyiwa dawa na kuirudisha hedhi.

1. Kunywa chai ya mdalasini.

2. Mvuje ukinywewa pamoja na pilipilimanga huteremsha hedhi iliyo fungwa katika uzazi au mapito yake.

3. Thoum na maganda yake huteremsha hedhi

Mwambie atumie moja kati ya hizo Dawa kisha uje hapa uniambie je bado hajapa siku zake Mkuu.@
Dadii

chanzo.MziziMkavu
 
Asante sana Dr. wangu MziziMkavu,
Sasa kuna case nyingine unakuta mwanamke anapitiliza siku zake (hedhi) kwa siku kadhaa. For instance unakuta alikuwa anafuata normal days at 28 each month.

Na anafika mahali cycle inabadilika unakuta anakaa hadi siku 40, 50, 60 hajapata siku zake na wakati mwingine anabadili cycle anaona mwezi mara 2 au hata after 20 days. Yaani ni irregular cycle niseme. Je ni tatizo gani hili mkuu na tiba yake ni kitu gani?
 
Zogwale, Mkuu Zogwale Kitu muhimu huyo anayepitiliza siku zake jambo la kwanza kabisa aende kumuona Daktari kupimwa ili Daktari ajuwe ni nini chanzo chake mpaka anapitiliza hizo siku zake huenda ana matatizo ya ugonjwa au upungufu wa kitu katika mwili wake. Itabidi kwanza amuone Daktari ikishindikana aje hapa tutampa ushauri wetu asante.
 
Last edited by a moderator:

Asante mkuu, ushauri umezingatiwa.
 
MziziMkavu,

1. Akhsante sana Dk. Mzizi Mkavu nitapeleke ushauri na mafanikio nitayaleta hapahapa.

2. Kimsingi hajafikia kikomo cha kwenye kutopata siku zake, umri bado haujamtupa mkono,za ana age ya 20th.

3. Hii kitu manemane na mvuje inaptikana wapi kiongozi na point namba 5 umesema anywe maji yaliyochemshwa na zaatari-hii zaatari ni kitu gani na upatikanaji wake ukoje mkuu mzizi?

4. Je matumizi yake yakoje kiongozi? yaani kwa siku mara ngapi na kwa kiwango gani? i mean here kwa kila dawa
uliyoitaja (generalize-mkuu).

5. Mwisho kuna tatizo lingine ambalo analo ni kuwashwa mgongoni amejaribu kupima damu labda chafu wapi, kuangalia haleji patupu,,, hila zoezi la kunywa ya maji moto analifanya kwa mujibu wake pamoja na chai ya majani flani yanaitwa green-tea kama sikosei.

Shukrani kiongozi mzizi na wakuu wengine kwa msaada wenu!
 
Jaribu kugoogle ovarian cyst syndrome uone dalili zake. Lakini muhimu sana anahitaji kuonana na dr bingwa wa wanawake ili afanyiwe vipimo. Inaweza kuwa kitu chochote kingine cha hatari ambacho kinatibika mapema.
 
Jaribu kugoogle ovarian cyst syndrome uone dalili zake. Lakini muhimu sana anahitaji kuonana na dr bingwa wa wanawake ili afanyiwe vipimo. Inaweza kuwa kitu chochote kingine cha hatari ambacho kinatibika mapema.
kuwa period ina makasheshe yake kwa mwanamke..ila ukiikosa dah unaimissije? hata mimi nimepitiliza sijui kwanini..ila nimechange mazingira jumlisha stress dah .natamani niivute
 
Jaribu kugoogle ovarian cyst syndrome uone dalili zake. Lakini muhimu sana anahitaji kuonana na dr bingwa wa wanawake ili afanyiwe vipimo. Inaweza kuwa kitu chochote kingine cha hatari ambacho kinatibika mapema.

Aksante king'asti,,,, alishapita huko,,, naomba pia kama mna details za wataalamu (madaktari bingwa wa magonjwa haya maradhi) ili aende dirctly badala ya kuanza kuuliza c unajua hapa mjini ukiwa na tatizo hospital utaambiwa tunatibu.

Unapewa dawa kesho unarudi tena,, unapewa zingine!
 
Jaribu kugoogle ovarian cyst syndrome uone dalili zake. Lakini muhimu sana anahitaji kuonana na dr bingwa wa wanawake ili afanyiwe vipimo. Inaweza kuwa kitu chochote kingine cha hatari ambacho kinatibika mapema.

Nimegugo king'asti ntampelekea,,, most ni Hormon inbalance,, magonjwa ya urithi, afanye mazoezi na balance diet c unajua wabongo ni wanga tu! morning 2 night. matunda anasa. daaaah thanks.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…