Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pole sana
inaonesha mfumo.wa chakula haupo vzur hivyo hii huleta madhara kwani umekaa na uchafu kwa mda wa siku tano kwa kawaida inatakiwa ujisaidie mara mbili au tatu kwa siku na kushauri kula mapapai kwa wingi kama ukiona hali hiyo inaendelea karibu ni kuelekeze dawa kwa ajir ya kutatua tatizo hilo 0765650028 asante
Habari If
Jamani Mimi Leo ni siku ya tano cjapaja kwenda na sijisikii kwenda chooni kujiasaida haja kubwa. Naombeni ushauri wenu jamani nifanye mini. Maana sio kawaida yangu kukaa cku zote hizo