kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,421 Reaction score 18,760 Jan 13, 2014 Thread starter #21 georgeallen said: kwa hiyo hesabu zako bado ni za kUONGEZA tu Click to expand... Ndio nakamilisha kuongeza, suala la kupunguza mungu anajua zaidi.....
georgeallen said: kwa hiyo hesabu zako bado ni za kUONGEZA tu Click to expand... Ndio nakamilisha kuongeza, suala la kupunguza mungu anajua zaidi.....
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,421 Reaction score 18,760 Jan 13, 2014 Thread starter #22 Maysally said: kawaida sana hiyo hata mimi nilikuwa hivyo kifupi hamna dawa avumilie tu Click to expand... nimekuelewa.....
Maysally said: kawaida sana hiyo hata mimi nilikuwa hivyo kifupi hamna dawa avumilie tu Click to expand... nimekuelewa.....
Nyalotsi JF-Expert Member Joined Jul 20, 2011 Posts 6,986 Reaction score 5,058 Jan 14, 2014 #23 swtlady said: Amen!hii dua na iwe ninavyopenda hesabu za haraka.nikipiga two then one nafunga mafile. Click to expand... Hakuna kitu natamani kama atakayekuwa mke wangu azae mapacha! I love twins pamoja na chalenge zake.kuna siku kwenye pilika za kazi tulipata mama aliyejifungua wanne! Niliwatamani sana wale watoto,loh!
swtlady said: Amen!hii dua na iwe ninavyopenda hesabu za haraka.nikipiga two then one nafunga mafile. Click to expand... Hakuna kitu natamani kama atakayekuwa mke wangu azae mapacha! I love twins pamoja na chalenge zake.kuna siku kwenye pilika za kazi tulipata mama aliyejifungua wanne! Niliwatamani sana wale watoto,loh!