Northern empire
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 358
- 459
Habari za usiku ndugu zangu . Niende kwenye mada moja kwa moja , kunatatizo linamsumbua mno hasa maeneo ya pwani sijui kama maeneo mengine lipo kiasi hichi .tatizo la kunyauka kwa Miche wakat wa matunda (nmyauko) . Ombi langu ni kuwa kwa yeyote ambae anafaham utatuzi wa hili janga naomba anisaidie kwan linanitesa mno na kunawatu wanasema halina tiba yake hasa kwa zao la nyanya na hata hoho.
Kwa yeyote anaeweza kunisaidia njia ya kukabilian nalo nitashkuru saana.
Kwa yeyote anaeweza kunisaidia njia ya kukabilian nalo nitashkuru saana.