Northern empire
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 358
- 459
pia rekebisha heading andika neno Kunyauka kwa mche sio kunyaka
Mkulimastar - KAZI ZA AFISA UGANI •Uundaji na kufanya ...
KAZI ZA AFISA UGANI •Uundaji na kufanya kazi na vikundi vya wakulima/wafugaji na mashamba darasa. •Kutembelea wakulima mashambani au kwenye kaya ...
Shukran ndugu
Habari za usiku ndugu zangu . Niende kwenye mada moja kwa moja , kunatatizo linamsumbua mno hasa maeneo ya pwani sijui kama maeneo mengine lipo kiasi hichi .tatizo la kunyauka kwa Miche wakat wa matunda (nmyauko) . Ombi langu ni kuwa kwa yeyote ambae anafaham utatuzi wa hili janga naomba anisaidie kwan linanitesa mno na kunawatu wanasema halina tiba yake hasa kwa zao la nyanya na hata hoho.
Kwa yeyote anaeweza kunisaidia njia ya kukabilian nalo nitashkuru saana.