Tatizo la kuota vinyama sehem za mwilini!

Kukamido

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2013
Posts
853
Reaction score
204
Wataalamu, kumekua na tatizo la kuota vinyama mbali mbali sehem za mwili ambavyo huota tu vyenyewe na kuondoka, nilishawahi kuwa navyo sehem za kwenye vigimbi vilikaa mda mrefu lakini vikaondoka vyenyewe bila kutumia dawa yoyote vikaota nyuma ya goti vikakaa na kuondoka pia ila vipo ambavyo vimeota kwenye korodani na vinafanana kabisa na vile vingine vilivyopotea viliniogopesha na hatimae kuamua kupata vipimo vikubwa(HIV)ila niko poa tu nimepima mara mbili mpaka sasa je vinaweza kuzua tatizo kubwa zaidi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…