longola
Senior Member
- Oct 15, 2015
- 106
- 254
Msaada kwa ma expert mimi nina tatizo la kupata majipu ambapo kuna kipindi lilianza kidevuni nikalikamua baada ya kama week likaja tokea pajani.
Likauma nikawa nashindwa kutembea vizuri but nikalikamua likaisha after few weeks likanitokea tena kalioni ikaamua kwenda hospitali maana i sawa this is getting serious.
Wakanipima kila kitu baada ya kuchukua damu but wakanambia sina tatizo lolote sasa nilikutana na doctor mmoja akanishauri nitumie dawa namely AMPICLOX CAP 500 MG TDS FOR 5 DAYS nikaitumia but baada ya mwezi naona saivi kuna kangine kametokea karibia na goti.
Naomba ushauri wadau kama mtu ana solution plz!
Sent using Jamii Forums mobile app