Tatizo la kupata majipu mara kwa mara

longola

Senior Member
Joined
Oct 15, 2015
Posts
106
Reaction score
254
Msaada kwa ma expert mimi nina tatizo la kupata majipu ambapo kuna kipindi lilianza kidevuni nikalikamua baada ya kama week likaja tokea pajani.

Likauma nikawa nashindwa kutembea vizuri but nikalikamua likaisha after few weeks likanitokea tena kalioni ikaamua kwenda hospitali maana i sawa this is getting serious.

Wakanipima kila kitu baada ya kuchukua damu but wakanambia sina tatizo lolote sasa nilikutana na doctor mmoja akanishauri nitumie dawa namely AMPICLOX CAP 500 MG TDS FOR 5 DAYS nikaitumia but baada ya mwezi naona saivi kuna kangine kametokea karibia na goti.

Naomba ushauri wadau kama mtu ana solution plz!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wataalamu wanakuja so be mvumilivu
 
Sema tu kama una HIV Aids,Diabetes au any other systemic infection!
 
Sky Eclat
 
Hiyo kawaida,jitahidi kuuliza dawa za kusafisha damu,
 
Ebu jaribu kutafuna punje ya kitungu SAUMU kila uamkapo.
 
Ni dalili kubwa ya UKIMi

[emoji124]‍♂️naenda zimbobo.
 
Tafuta mbegu za nyonyo kunywa,hutasikia hilo tatizo tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…