Tatizo la kupigwa na shoti kila mara

Mimi naitaka hiyo hali irud tena maana huwa nahisi kama mwili unanguvu za ajabu. hivi karibuni imepotea ila nilipokuwa kijijini kwa babu ilikuwepo haswaa haikuishia kwenye net tu hata kwenye blanket pia
 
Jaribu kutembea na earth rod ya shaba, itapoza shock.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…