tatizo la kupoteza fahamu pasipo mgonjwa kupata dalili yoyote

neysar

Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
9
Reaction score
6
habari zenu wakubwa naombeni ufafanuzi kuhusiana na tatizo hili kwamba mgonjwa huanguka na kupoteza fahamu mara kwa mara pasipo kupata dalili zozote kama kuumwa kichwa sana au kizunguzungu kabla ya kutokewa hujikuta yeye ni mtu wa kusimuliwa tu kama umepoteza fahamu umeanguka yaani mgonjwa baada kupata fahamu hushindwa kujielewa kabisa kama alianguka mpaka aambiwe kwamba umeanguka ndo ajitambue vinginevyo labda atajihisi yupo ktk mazingira tofauti tu kwamfano alikua anatembea akaanguka anapopata fahamu zake akajiona yupo chini kalala
 
Ana matatizo ya masikio? anyways hebu mpelekeni hospital kubwa hiyo hali sio nzuri na kuna magonjwa mengi sana yanasababisha kupoteza fahamu, siwezi ku mention yote.
 
hapana hana matatizo ya maskio but anyway tnx ariels 4 ur advise nitampeleka hsptal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…