Habari watalaamu!
Nina tatizo la kupukutika kucha zote miguuni na mikononi na zikijaribu kuota zinaumuka kwa ndani halafu zinaacha na nyama inayozikamata.
Tafadhali aliye mtaalamu au anayemjua mtaalamu wa tatizo hili anitumie hata meseji kwenye 0656 353 925