Tatizo la kushindwa kurudia tendo la ndoa

Vijana mna shida sana. Unataka ufanye na mkeo jioni na asubuhi kila siku! Siyo maisha halisi hayo. Ubongo wako unamwona mkeo kama mke lakini inaonekana ubongo wa mkeo bado unakuona wewe kama boyfriend. Mzalishe mkeo awe busy na watoto...
 
naam, wewe unatombana mara nne unatafuta nini?
hiyo K ni kama puto, hata upige vipi huikomoi wewe piga chao kimoja cha dakika mbili usalirozari ulale
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Hiyo 7800 ni ya Kutolea au ndo mzigo wenyewe?
Ndio mzigo wenyewe, ya kutolea pambana na hali yako
 
Una tatizo la gesi... Au damu yako haijachangamka.... Sasa tafuta chai ilowekwa tangawizi kaliii unywe nusu saa kabla ya mechi then upige mechi.... Mimi Nina tatizo kama lako ila hyo ndo dawa yangu
 
Hizi tips zitakusaidia
√Relax,relax,relax,punguza mawazo ya mambo yako,lisilowezekana leo kesho Inshaallah litafanikiwa,usijipe stress katika kichwa chako,stress ni chanzo cha underperformance..
√Fanya mazoezi,sehemu za nyonga na misuli ya mapaja,usijifanyie tu mazoezi ili mradi,mazoezi yako yahusu eneo la tumbo kushuka chini (japo sio mbaya kama utakimbia round kadhaa)
√Lishe baba,kula mlo mzuri,balance diet,punguza kula vyakula vya mafuta
√Tumia local busta i.e mihogo ya kutafuna,ndizi mbivu,maji ya tangawizi mixer iwe kali kiasi,mdalasini+asali mbichi,punje 5 za vitunguu swaumu,ponda then meza kwa maji glas moja dk 10 kabla ya gemu,juisi ya tikiti na busta zingine (usitumie busta za viwandani/pharmacy)
√Jiamini,muandae mpnz wako na yeye ashiriki kukuandaa vya kutosha,ikiwezekana ajue tatizo ili awe sehemu ya msaada wakati wa tendo,hii itakusaidia maana atakuwa anaziamsha ashki zako pale atakapokuona unawahi kufika au uume unaelekea kukosa nguvu...
 
Wacha ukorofi
Usimtishe mwezako kwani kama goli moja hawezi kumpa mimba mwanamke kurudia rudia kujichosha tu ..piga mnapolala kimoja na asbh kimoja saaafi mladi afike kileleni tu mkeo
 
Usimtishe mwezako kwani kama goli moja hawezi kumpa mimba mwanamke kurudia rudia kujichosha tu ..piga mnapolala kimoja na asbh kimoja saaafi mladi afike kileleni tu mkeo
Haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…