Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,301
- 8,706
Nina tatizo la kusikia au kusoma tofauti na maana halisi mfano kusoma neno kuoana naeza kusoma kuelewana
Na pia katika kusikia ni hivo hivo ubongo wangu unatafsiri maneno tofauti na uhalisia iwe kwa kusikia au kusoma!
Hili tatizo linanipa shida maana naanza kuwa mzito kuelewa....Je Hili ni tatizo au ugonjwa??
Nasaidikeje!?