Tatizo la Kutamka "R" na "L"

"Lazalo" wtf...huyu ni mtu alienda shule akasoma hadi chuo, tena huko chuo alisoma mambo ya lugha na sayansi ya jamii..!
 
Shida ilianzia paleee tulipoingiza waalimu wa UPE..!
 
Shule za Tanganyika ni kitalu cha kusomea ujinga.

Hata walimu tunaowategemea hawajui Kiswahili.

Cc: FaizaFoxy
 
Kwenye hili, Mohamed, nasikia maumivu yako. Kuna lingine la kuchanganya saa za kiingereza na za kwetu. Mtu anaandika " mahojiano yalikuwa saa 9.00 a.m."! Na imeandikwa kwenye taarifa rasmi.

Amandla...
 
The can't be selious kweri kabisa badara ya kusema suruhu Hassan ukaseme suluhu hassan
 
Kuna makosa mengi katika kutamka kiswahili. Mfano badala ya kutamka dhania/zania. Hata neno badala/baada. Thibitisha/sibitisha. Saa/masaa nk inakera hata kusikiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…